Hizi ni baadhi ya picha za waigizaji Yusuph Mlela na Esha Buheti wakiwa nchini Marekani ambako wamekwenda kufanya kazi (Filamu) wakiwa chini ya kampuni ya Didas Entertainment ambayo kampuni inajihusisha maswala ya filamu na burudani kwa ujumla.
Tunawatakia kazi njema.
RECHO ASHEREKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE KWA MBWEMBWE!===>>JIONEE HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
ASANTE NA KARIBU
TENA!
-bongomovies







Note: Only a member of this blog may post a comment.