Thursday, February 26, 2015

Anonymous

RECHO ASHEREKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE KWA MBWEMBWE

Keki ya sherehe ilivyokuwa.
Linah akiwasha mshumaa kama ishara ya upendo kwa shoga’ake. Mzazi mwenzake na mwanamuziki Barnaba aitwaye Mama Steve (kulia) akilishwa keki na Recho. Mtangazaji wa kituo cha EFM, Ssebo (kulia), akilishwa keki.Staa wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat ‘Recho’, akilishana keki na Estelinah Sanga ‘Linah’, usiku wa kuamkia leo ndani ya Regence Hoteli
Mikocheni jijini Dar, katika sherehe za bethidei yake.
Mmoja wa marafiki zake Recho akimtunza fedha. Recho akiwa na wenzake baada ya ufunguzi wa shampeni kufanyika kwa usahihi. Recho katika pozi.
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat ‘Recho’, usiku wa kuamkia leo alifanya  sherehe ya kuzaliwa kwake na baadhi ya jamaa na marafiki aliowaalika katika Hoteli ya Regence Mikocheni jijini Dar ees Salaam.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!
(Habari/Picha: Musa Mateja/GPL)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.