Thursday, October 13, 2016

Unknown

MSIBA: Aliyewahi kuwa meya wa Dar, Dr Didas Massaburi afariki dunia!

Aliyewahi kuwa meya wa Dar es Salaam na mbunge wa Afrika Mashariki, Dr Didas Massaburi amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya taifa Muhimbili mahali alikokuwa akipata matibabu yake.
Kaa karibu na kandiliyetu.co.tz tunaendelea kufuatilia chanzo cha mauti yake pamoja na ratiba za mazishi.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.