Thursday, October 6, 2016

Unknown

Ali Kiba Ataja Sababu iliyomfanya Asioe Licha Ya Kuwa Na Watoto Watatu Kwa Mama Tofauti!

Alikiba ameitaja sababu iliyomfanya ashindwe kumuoa mwanamke yeyote kati ya watatu aliozaa nao.
Hitmaker huyo wa Lupela alisema kuwa hakupenda kulazimisha iwe hivyo.“Unajua hauwezi kumuoa mtu kama hamuelewani.''

"Nia yangu ilikuwa ni kustick na kila mama wa mtoto wangu toka nilipoanza. Lakini mambo yanaenda tofauti, huenda tunapogombana anatafuta mtu mwingine,” anasema Kiba.“Kwahiyo hautakiwi kuforce mapenzi, mimi nataka nikae na mtu ambaye tutaelewana,” ameongeza.
Alikiba ana watoto wawili wa kike, Amiya Kiba, Chamy Kiba na mmoja wa kiume, Sameer Kiba. Wote ni watoto wa mama tofauti.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.