Thursday, September 29, 2016

Unknown

TBT: Picha za utoto za mchezaji ghali zaidi duniani Paul Pogba wa Man Utd

Mdau najua umezoea kuona nikikuletea TBT Picha za mastaa mbalimbali wa soka wanaofanya vizuri katika soka, ila leo Septemba 29 2016 naomba nikusogezee TBT Picha za utoto za mchezaji ghali zaidi duniani Paul Pogba. 

Kama humfahamu Paul Pogba ni jamaa ambaye alizaliwa Lagny-sur-Marne wazazi wake wakiwa wametokea Guinea, katika soka Pogba ana ndugu zake wawili ambao ambao wote wanacheza soka pia, kaka yake Mathias anachezea timu ya taifa ya Guinea.

Paul Pogba muonekano wake wa sasa

Paul Pogba muonekano wake wa sasa


Pogba wa pili kutoka kushoto waliosimama

Pogba wa katikati na kaka zake

Pogba wa kwanza kushoto


Pogba wa kwanza kushoto

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.