Mwanamuziki na nguli wa muziki wa Bongo flava nchini Tanzania, Nassib Abdul aka Diamond Platnumz ambaye anaiwakilisha nchi hii vizuri nje ya mipaka ya Tanzania kupitia muziki wake.
Diamond ametoa kauli mpya ya kudhihirisha ni nini kingine ambacho anakiwakilisha nje ya nchi kama Mtanzania.Amesema kuwa, kuwa na Zari ambaye sio Mtanzania nilazima kitandani afanye show nzuri kwakuwa anaamini anaiwakilisha nchi kwa hilo.
Ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram
“Ukipata Mchumba wa nchi nyingine inabidi kitandani ujitahidi kufanya show Nzuri….Maana unaliwakilisha Taifa #SjuiNiongezeWaTatuAkitokaHuyuTu ”
Umeisoma kauli hiyo ya Diamond Platnumz
Note: Only a member of this blog may post a comment.