Thursday, July 7, 2016

Unknown

PICHAZ: Msanii CIARA Amefunga Ndoa na Mpenzi Wake Russell Wilson


Msanii wa muziki kutoka pande za Marekani Ciara July 6 2016 ameingia kwenye headlines baada ya taarifa na uthibitsho wa picha za yeye kufunga ndoa na mpenzi wake Russell Wilson kuenea mitandaoni.

Ciara amefunga ndoa na Russell wakiwa Peckforton Cheshire Uingereza, kwa pamoja Ciara na mpenzi wake Russell walitumia account zao za instagram kueleza umma furaha yao kuhusu maamuzi yao ya kufunga ndoa.
Kama utakuwa unakumbuka vizuri au humjui vizuri Russell Wilson aliyefunga ndoa na Ciara, ni mchezaji wa American Football quarterback akiichezea timu ya Seattle Seahawks inayoshiriki National Football League (NFL).
A photo posted by Russell Wilson (@dangerusswilson) on

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.