Tuesday, April 12, 2016

Anonymous

WANASHERIA: Hivi ni Sahihi Rais Kudukua Mawasiliano ya Wateuliwa wake?

Mh rais amekiri kuwa ameagiza watu wake kurekodi (kwa lugha ya kitaalamu kudukua) maongezi ya mawaziri na makatibu wakuu ili apate ushaidi wa kuwafukuza.
Nimesoma katiba nzima sikuona sehemu iliyoandikwa eti kulalamika ni kosa la jinai au la kawaida. Sasa huu udukuzi anaoufanya Mh. rais hauvunji haki za binadamu??
Wanasheria nisaidieni!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.