KWELI mtume hakubaliki nyumbani! Hayo ndiyo
yaliyotokea kwa mashabiki wa kike wa Mali ambako wanamuziki Flavour, Mr
2Kay na J Martins walifanya shoo ambayo kutokana na ‘mizinguo’, iliwatoa
machozi mashabiki wa kike ambao walilia bila kujua kilichokuwa
kikiwatokea kutokana na utamu wa muziki walioupiga.
Tuesday, April 12, 2016
Tazama Mwanamuziki Mr FLAVOUR Alivyowaliza Warembo Huko Mali
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Filed Under:
CELEBRITIES,
UDAKU
on Tuesday, April 12, 2016

Note: Only a member of this blog may post a comment.