Thursday, April 7, 2016

Anonymous

Picha 25: Mbunge Mr II Anatimiza Ahadi ya Kurudi Bongoflevani, Nimemkuta Akitengeza Hii Video Mpya

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Mr. II, Sugu) ameingia studio MJ Records na kutimiza ahadi yake ya kurudi kwenye game ya bongofleva ambapo alikaa kimya kutokana na kuchaguliwa tena kuwa Mbunge kwa awamu ya pili kuliongoza Jimbo la Mbeya Mjini.
Director wa hii video ya ‘Freedom’ ni Hanscana ambapo Mr II ameiambia millardayo.com jinsi alivyokutana na Producer, DAxo Chali aliyetengeneza hiyo single >>> ‘Niliitwa nikaambiwa nikikaa kwenye ile beat itakuwa poa nikaona sasa hivi nimepata fursa baada ya kumaliza kampeni na kushinda kama Mbunge ambaye nimechaguliwa kwa kura nyingi kuliko Mbunge yeyote ndio ikanibidi nijibu kiu ya mashabiki zangu‘

Profesa Jay na Producer Master J ni miongoni mwa wataotokea kwenye hiyo video mpya ya Mr II



Msanii wa hiphop Roma Mkatoliki naye yumo ndani





Profesa Jay na Mr II

Location ya video ni Dar es salaam

Profesa Jay na Hartman Mbilinyi



Roma Mkatoliki, Shaa na Master J

Video bado inaendelea kutengenezwa


Hanscana ambaye aliwahi kushinda tuzo ya Director wa video anaependwa Tanzania kwenye TUZO ZA WATU ndio anausimamia huu mzigo wa Mr. II

Mr II







-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.