Majambazi Sugu Yakuiba Magari Aina ya Noah Yadakwa DAR... Kama Ulishawahi Ibiwa Gari Soma Hapa
Wezi wa Magari wamedakwa waligeuza nyumba yao maeneo ya Boko/Bunju Yard ya Magari ya Wizi , Kama kuna ndugu jamaa au Rafiki aliibiwa Noah mpe Taarifa afike Oysterbay police #UlinziShirikishi..
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.