Wednesday, April 6, 2016

Anonymous

HABARI NJEMA Kwa Wamiliki wa Vyombo Vya Habari Hasa Magazeti

Ile sheria kandamizi inayolalamikiwa na wamiliki wa vyombo vya habari, inayompa mamlaka waziri wa habari, tamaduni na michezo ya kukifungia chombo chochote bila hata ya kwenda mahakamani, ipo mbioni kuondolewa.

Akiongea na waandishi wa habari mkoani kigoma waziri nape amesema serikali inataraji kuunda bodi ambayo itakuwa na uwezo wa kumhukumu mwandishi aliyekiuka taratibu za kiuandishi.....na hakutakuwa tena naaamuzi ya kuadhibu gazeti au chombo cha habari zima/kizima.
Source: Azam news

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.