Waziri Mkuu Mstaafu na Aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa
tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais
wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif
Hamad, wakati alipokwenda kumjulia hali katika Hoteli ya Serena jijini
Dar es Salaam leo Machi 11, 2015.
Waziri Mkuu Mstaafu na Aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa
tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa
Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif
Sharif Hamad, wakati alipokwenda kumjulia hali katika Hoteli ya Serena
jijini Dar es Salaam leo Machi 11, 2015.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha
Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa
habari (hawapo pichani) juu ya hali ya afya yake.
Waziri Mkuu Mstaafu na Aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa
tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif
Hamad, mara bade ya kumjulia hali katika Hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam leo Machi 11, 2015.
Note: Only a member of this blog may post a comment.