Miongoni mwa nyimbo alizopiga shoo ambazo zimo ndani ya albamu hiyo ni “Famous.” Wakati aki-perform kwenye Ukumbi wa Paradise, alikatisha kuimba ghafla mashairi ya Taylor Swift, ili kuwaruhusu mashabiki wa mjini Manila kuitikia mashairi hayo ili kuonesha kama wimbo huowanaukubali. Yeezus aliwashukuru mashabiki hao kwa kuitikia wimbo huo.
Alifurahishwa na kitendo hicho cha mashabiki kumpokea na kukubari kazi zake hivyo alilazimika kuimba wimbo wa Famous mara mbilimbili. Nyimbo nyingine alizogonga ni “Waves” na “Father Stretch My Hands.”

Pia Kanyeezy alipiga live performance ya kwanza ya “Pop Style,” ya wimbo alioshirikishwa na Drake, Views From the 6.
Hii ilikuwa shoo ya kwanza ya Kanye kwa mwaka 2016 kuifanya nchini Philippines. Tamasha la Jumamosi la Paradise International Music Festival pia lilikuwa na wakali kibao wakiwemo Wiz Khalifa, Afrojack, na Austin Mahone.
Kanye West akiimba Famous, Waves, Father Stretch My Hands & Rants @ Paradise IMF, Manila

Kanye West – I Don’t Want To Be Liked (2016 Freestyle in Manila)
Kanye West Performs “Pop Style” Live For The First Time, In Manila (Drake & Jay-Z Collab)

Note: Only a member of this blog may post a comment.