Sunday, March 13, 2016

Anonymous

Kasi ya MAGUFULI Yamkuna Rais wa Rwanda Paul KAGAME... Aamua Kumuiga Kwa Kufanya Hili Kwa Viongozi wa Umma

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema kuwa atapunguza safari za nje za watumishi wa umma. Apongeza hatua anazochukua Rais Magufuli.
Ameyasema hayo Jana wakati wa akiwahutubia viongozi mbalimbali wa Serikali yake.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.