Watoto wa kike wanakua haraka, ndiyo maana, Paris, mtoto wa Michael Jackson unaweza kumsahau.
Paris mwenye miaka 17 sasa, anatarajia kufikisha miaka 18, April 3.
Paris ni mtoto pekee wa hayati Michael Jackson, na ana kaka yake
mkubwa mwenye miaka 19, Prince Michael na mdogo wake mwenye miaka 14,
Blanket (ambaye jina lake pia ni Prince Michael).
Note: Only a member of this blog may post a comment.