Saturday, March 12, 2016

Anonymous

Video: DIAMOND Alikutwa na Hili, ni Baada ya Harmonize Kupata Ajali ya Pikipiki Wakishoot Video ya Wimbo Bado

WCB Wasafi wameachia behind the Scene ya video ya wimbo Bado wa Harmonize aliyomshirikisha Diamond. Katika video hiyo moja ya tukio kubwa ni lile ambao linaonyesha jinsi uongozi wa Harmonize ulivyokaliwa kooni baada ya Harmonize kuanguka na pikipiki na kuiharibu.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.