#Habari: Nyumba nane zachomwa moto Pemba. Inasemekana moja kati ya nyumba hizo ni ofisi ya CCM na kituo cha afya. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde!

CHANZO: ITV
Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Note: Only a member of this blog may post a comment.