Msanii wa muziki wa bongo fleva, Baraka Da Prince na Mirror wakiimba wimbo wao mpya wa ‘Naogopa’.
Mashabiki wakiendelea kupata burudani ndani ya Maisha Basement.
Mwana – FA akiongea jambo na mashabiki.
Msanii wa bongo Fleva, Mo music akiimba wimbo wake wa Skendo.
Msanii wa bongo Fleva, Ali Kiba akiwasalimia mashabiki.
Barnaba Boy akifanya yake na mashabiki wake.
WIKI iliyopita mastaa kibao wa Muziki wa Bongo Fleva walihudhuria
katika sherehe ya kuzaliwa kwa msanii Baraka Da Prince na Mwana-FA
iliyofanyika katika Ukumbi wa Maisha Basement ulipo Kijitonyama jijini
Dar.
Sherehe hiyo ilipambwa na burudani kutoka kwa msanii Mirror, Mo Music, Ali Kiba, T.I.D, Ommy Dimpoz, Barnaba Boy na wengine kibao sambamba na burudani ya nguvu kutoka kwa DJ Ommy Craizy, Ally B na Tass.
Na Gabriel Ng’osha

Note: Only a member of this blog may post a comment.