Saturday, February 27, 2016

Anonymous

William LUKUVI Amekabidhi Ramani za Maeneo Yote ya Mitaa ya Jiji la Dar kwa Wenyeviti wa Mitaa. Asema Bomoabomoa Inakuja

William Lukuvi amekabidhi ramani za maeneo yote ya mitaa ya Jiji la Dar kwa Wenyeviti wa Mitaa. Asema bomoabomoa inakuja.
Amesema ametoa ramani hizo ili kila mwananchi atambue eneo alilojenga kama hakustahili kuwepo aanze kujipanga.
Baadhi ya mameya waliohudhuria makabidhiano hayo mbali na kuelezea mipango ya manispaa zao juu ya suala la mipango miji wamesema baada ya wizara kutoa ramani hizo tatizo sugu la migogoro ya ardhi litapungua kwani kila mmoja atafuata taratibu na sheria zilizopo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.