Monday, February 29, 2016

Anonymous

Video ya Magoli ya SIMBA SC vs SINGIDA United FA Cup, Full Time 5-1

February 28 klabu ya Simba ilicheza hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la FA dhidi ya klabu ya Singida United, Simba ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 5-1, magoli ya Simba yalifungwa na Danny Lyanga, Hamisi Kiiza na Awadh Juma wakifunga magoli mawili kila mmoja la Singida United lilifungwa na Paul Mlamala.
Tazama video hiyo hapa chini

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.