Monday, February 29, 2016

Anonymous

Pichaz 22 za uzinduzi wa KAMATIA CHINI Lights UP Tour ya Navy Kenzo Ilivyo Happpen Usiku wa Kuamkia Leo!


Usiku wa February 28 kundi la Navy Kenzo ambalo kwa sasa lina miliki air time ya vituo vingi vya Tv nje na ndani ya Tanzania kwa ngoma yao mpya ya “Kamatia Chini”, wamefanya uzinduzi rasmi wa Kamatia Chini Lights UP Tour ndani ya Maisha Basement. Mtu wangu wa nguvu hizi ni Pichaz 22 ya kilivyo happen katika uzinduzi huo.








































USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.