Monday, February 15, 2016

Anonymous

VIDEO: Hiki Ndicho KIBANO Kitakachowakuta VIGOGO Waliohusika Kutorosha Makontena Bandarini


Utoroshwaji wa Makontena uliofanyika katika Bandari Kavu kisha kugunduliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara ya kwanza alipotembelea Bandarini na baadae Rais Magufuli Kuwataka walewote waliotorosha Makontena hayo walipe kodi .

Kampuni ya Yono Auction Mart ndiyo imepewa dhamana na Mamlaka ya mapato nchini (TRA) Kukusanya kodi hizo kwa wote waliotorosha makontona bandari kavu. Nakukutanisha na Mkurugenzi Mkuu akieleza hatua zilizopangwa kuchukuliwa.
Tazama video hiyo hapa

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.