Monday, February 15, 2016

Anonymous

Sultan Idriss Awaomba Radhi Mashabiki Kwa Niaba ya WEMA SEPETU Baada ya Wema Kukacha Kutokea Club Billz Jana

Usiku wa Jana Mrembo Wema Sepetu Alitakiwa Kuwepo Club Billz kujumuika na mashabiki wake lakini hakuweza tokea, Japo Club ilifurika mbaya baada ya taarifa kuwa Wema Atakuwepo...Idriss Sultan Asubuhi hii Ameandika Haya Kwenye Ukurasa wake wa Instagram 
Idrissultan
"Asanteni sana for all the major love and support mmeonyesha Billz ilikua ni mmetisha sanaa.
I apologize kwa niaba ya wa ubavu wangu kutokufika mnilaumu mimi si mnajua tena tarehe 14 niliamka na usongo ila anapumua bado "

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.