Monday, February 15, 2016

Anonymous

Rais MAGUFULI Asema Watu Wasishangae Paul MAKONDA Akipanda Cheo Kazi yake Imeoneakana

Magufuli akiongea na Wazee wa Dar es Salaam leo Amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda na Kusema siku akipanda cheo watu wasinung'unike, kazi yake imeoneakana na heshima yake imeonekana.
 Hongera Makonda. Nyota yako imewaka. Mh Raisi kakuona... Sasa usiende kulala.
Nadhani leo Mbunge wa Ubungo (Mh Kubenea) ataugua homa!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.