Baada ya mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Manara kumtuhumu afisa habari wa Yanga kuwatukana Simba na viongozi wake, Amplifaya ya Clouds FM ilimtafuta afisa habari wa Yanga Jerry Muro ili aweke sawa habari hizo kwa upande wake?
“Kama
kuna mtu anaona kauli zangu hazijamtendea haki, mimi nimshauri tu kuna
vyombo husika, wapo watu wa Media Council of Tanzania na TCRA, wao
wanahusika na masuala ya maudhui, kwa kawaida tu hakuna chombo cha
habari kinaweza rusha matusi hewani, sasa kama wewe unaona Jerry
akiongea kitu kina kukera basi sio lazima unisikilize, zima redio au tv
kwani lazima unisikiliza? ” >>> Jerry Muro
Unaweza cheki video ya majibu ya Jerry Muro hapa mtu wangu

Note: Only a member of this blog may post a comment.