WIZKID AWAKUBALI DIAMOND, KIBA!
Wizkid.
Mkali wa muziki toka Naija anayetamba kwa kibao chake cha Ojuelegba,
Wizkid ameonesha kuwakubali wanamuziki kutoka Tanzania ambao ni Diamond
Platnumz na Ali Kiba jambo lililoonesha jinsi muziki wa Bongo Fleva
ulivyofika mbali.
Diamond Platnumz.
Wizkid alisema hayo katika shoo iliyofanyika katika Viwanja vya
Leaders jijini Dar wikiendi iliyopita ambapo mbali na kuwakubali wasanii
hao alionesha mapenzi yake ya dhati kwa mashabiki Bongo kwa mapokezi
aliyoyapata kabla ya kuangusha shoo ya nguvu na kupiga vibao vyake kama
Caro, Show You The Money, On Top Of Your Matter na Ojuelegba.
Ali Kiba.
Msanii huyo alipanda jukwaani akitanguliwa na msanii Christian Bella
aliyepanda na bendi yake ya Malaika, Fid Q na Diamond Platnumz
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.