Tuesday, November 3, 2015

Anonymous

VIDEO: Jeshi la Polisi CHADEMA Kivumbi Leo Jijijni Dar

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku maandamano yasiyo na kikomo ya chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) yaliyopangwa kuanza Jumanne Novemba 3 mwaka huu kwa lengo la kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa nafasi ya urais.
Tazama video hiyo hapa...

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.