Wednesday, November 4, 2015

Anonymous

SIRI ya Kwanini ALI KIBA Huwa Haendi Kwenye Tuzo? Safari ya Marekani na Kolabo na BELLA [+VIDEO]

Ali Kiba ambaye ni staa wa bongofleva alipita kwenye studio za Mtangazaji Millard Ayo na kuelezea mipango yake anapokwenda Marekani November 4 2015, kwanini huwa haudhurii matukio ya utolewaji wa tuzo mbalimbali anazowania, single mpya na Christian Bella na mengine.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.