Kumeenea picha mbaya na stori kuhusu Ray C na kilichotokea jana kwenye account yake ya Instagram, leo Soudy Brown kampata na kajibu yote ilivyokuwa.
Ray C amesema
zile picha ni zake private ambazo alizihifadhi kwenye simu yake, lakini
kwa bahati mbaya simu yake imepotea na aliyeiba simu ndio aliamua
kuanza kupost picha alizokuta kwenye simu ya Ray C.
Ray C
amesema alituma email kwa wamiliki wa Instagram ili waifungie account
hiyo, lakini anaomba radhi kwa kilichotokea kwa sababu sio yeye
aliyepost picha hizo.
“Niombe
tu msamaha maana sijui hata naanzaje kuelezea… naomba tu waelewe kwamba
simu nimeibiwa na mtu ambaye amefanya hivyo namjua na nimeripoti
Polisi.. naomba tu msamaha“- hii ni sehemu ya maneno ya Ray C alipokuwa kwenye U Heard na Soudy Brown leo.
Note: Only a member of this blog may post a comment.