Thursday, November 26, 2015

Anonymous

Fahamu MSHAHARA wa Mbunge na Posho Zote Anazopewa...Nini Maoni Yako Juu ya Hili?!

 Kwa mujibu wa Mh Zitto Kabwe:
"Mshahara wa mbunge ni milioni 3.8 kwa mwezi, Posho ya Ubunge ni milioni 8 kwa mwezi, Posho ya kujikimu kwa siku ni laki 120,000 kwa siku, kukaa kikao cha bungeni posho ni shilingi laki 200,000

Kwa siku, pia bado bado kuna fedha kwa ajili ya mfuko wa jimbo ambayo ni milioni 46 lakini hii hutegemeana na jimbo lenyewe na mbali na hapo kuna posho ya jimbo".
Nini maoni yako hapo?
Chanzo: (EATV)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.