Diamond
ni miongoni mwa wasanii ambao waliahidi kuachia kazi mpya baada ya
uchaguzi, na kati ya kazi alizofanya, inayosubiriwa kwa hamu zaidi ni
wimbo aliomshirikisha staa wa RnB kutoka Marekani, Ne-Yo.
Mpaka sasa bado haijafahamika ni wimbo/nyimbo gani atakazotangulia kuachia, kutokana na style yake ya kufanya vitu kimya kimya mpaka dakika za mwisho akiwa na kila kitu mkononi ndio huwa anaanza kutoa ishara.
Platnumz jana (Nov.9) aliandika post ambayo ni kama ishara ya kuwaandaa mashabiki wake wakae mkao wa kupokea kazi mpya.
Kwa kujiamini kupita maelezo, kupitia mitandao ya kijamii baba wa Tiffah aliandika;
“Nyimbo
na Videos nnazoenda kuachia mwaka huu, zitakuwa ni Historia na Kubaki
kumbukumbu hadi siku ntapozikwa…. #HifadhiHiipost.” kwa maneno haya, hii
ni ishara kuwa mzigo unadondoka muda si mrefu? Nadhani majibu
tutayapata soon.
Nyimbo na Videos nnazoenda kuachia mwaka huu, zitakuwa ni Historia na Kubaki kumbukumbu hadi siku ntapozikwa…. #HifadhiHiipost
— Chibu Dangote (@diamondplatnumz) November 9, 2015
Kwa tafsiri ya kile alichoandika Diamond, “Nyimbo” na “VideoS”, hii inamaanisha tutarajie wimbo zaidi ya mmoja (1) , pamoja na video zaidi ya moja (1) ndani ya siku 51 zilizosailia kuumaliza mwaka huu wa 2015. #HifadhiHiipost
Mpaka sasa bado haijafahamika ni wimbo/nyimbo gani atakazotangulia kuachia, kutokana na style yake ya kufanya vitu kimya kimya mpaka dakika za mwisho akiwa na kila kitu mkononi ndio huwa anaanza kutoa ishara.
Platnumz jana (Nov.9) aliandika post ambayo ni kama ishara ya kuwaandaa mashabiki wake wakae mkao wa kupokea kazi mpya.
Kwa kujiamini kupita maelezo, kupitia mitandao ya kijamii baba wa Tiffah aliandika;
Nyimbo na Videos nnazoenda kuachia mwaka huu, zitakuwa ni Historia na Kubaki kumbukumbu hadi siku ntapozikwa…. #HifadhiHiipost
— Chibu Dangote (@diamondplatnumz) November 9, 2015
Kwa tafsiri ya kile alichoandika Diamond, “Nyimbo” na “VideoS”, hii inamaanisha tutarajie wimbo zaidi ya mmoja (1) , pamoja na video zaidi ya moja (1) ndani ya siku 51 zilizosailia kuumaliza mwaka huu wa 2015. #HifadhiHiipost

Note: Only a member of this blog may post a comment.