Monday, November 9, 2015

Anonymous

AJALI MBAYA: Basi la BATCO Laacha Njia na Kupinduka Mkoani Mara...Laua na Kujeruhi Watu 26

#‎Habari‬: Watoto 2 wamefariki dunia na watu wengine 26 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Batco lililokuwa linatoka Sirari mkoani Mara kwenda Mwanza kuacha njia na kupinduka katika eneo la Fiba. Kamanda wa polisi mkoani Mara Kamishana Msaidizi wa Polisi Philip Kalangi amethitisha kutokea kwa ajali hiyo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.