Monday, November 9, 2015

Anonymous

ZITTO KABWE Arusha Makombora Kwa Serikali Kuhusu Hali ya Zanzibar

Mh. Zitto Kabwe leo mchana mtandaoni kwake kaandika ujumbe mara mbili kuhusu hali tete ya Zanzibar kisiasa na pia kafunguka msimamo wake juu ya MAALIM SEIF kuwa mshindi wa uchaguzi huo.
Alianza na hii hapa: 
Suala la Zanzibar lisidharauliwe kabisa. Matokeo yatangazwe na mshindi aapishwe. Hatuwezi kutazama tu Katiba inakanyagwa. Vinginevyo Maalim Seif apate Jaji amwapishe na aunde Serikali mara moja na kuanza kuwatumikia Wazanzibari, Serikali ya Umoja wa kitaifa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar

Kisha akapost na hii nyingine: 
I have studied Zanzibar case and concluded ( S.28(1)(2) that whoever is calling himself or herself, NOW, a Zanzibar President is committing a treasonous offence liable to death penalty, once found guilty by the court of law!
Je, una maoni gani?! Funguka hapo chini kwa comment box tafadhali

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.