Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp akishangilia.
Mshambuliaji wa Liverpool, Christian Benteke akifunga bao la tatu mbele ya mabeki wa Chelsea.
Chelsea inayonolewa na Kocha Mreno, Jose Mourinho ilishindwa kulinda bao lake la mapema ililolipata dakika ya nne kupitia kwa kiungo Ramires.
Hii inakuwa mechi ya kwanza kwa Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp kupata ushindi kwenye EPL tangu ajiunge na kikosi hicho mapema mwezi huu.
Aidha inaweza kuwa mechi ya mwisho kwa Mourinho kuendelea kukinoa kikosi cha Chelsea kwani alipewa mechi mbili kuhakikisha anashinda ikiwemo hii ya leo lakini zote amepoteza.
Chelsea (4-2-3-1): Begovic 6; Zouma 5, Cahill 6, Terry 6, Azpilicueta 6 (Falcao 75, 6); Ramires 7, Mikel 6.5 (Fabregas 69, 6), Willian 7; Oscar 6.5, Hazard 5 (Kenedy 59, 6), Costa 6
Subs not used: Baba, Remy, Matic, Amelia
Scorer: Ramires 4
Booked: Mikel
Liverpool (4-3-3): Mignolet 6; Clyne 7, Skrtel 7, Sakho 7.5, Moreno 5.5; Can 6.5, Lucas 6.5, Milner 7 (Benteke 64, 7); Lallana 7.5 (Lovren 90), Coutinho 8.5, Firmino 7.5 (Ibe 75, 6.5)
Subs not used: Allen, Bogdan, Teixeira, Randall
Scorers: Coutinho 45+3, 74, Benteke 83
Booked: Coutinho, Lucas, Can, Benteke
Att: 41,577
Referee: Mark Clattenburg
Note: Only a member of this blog may post a comment.