Monday, October 26, 2015

Anonymous

YANAYOJIRI UCHAGUZI MKUU: Msimamizi Aingia Mitini na Bahasha ya Matokeo

#‎YanayojiriVituoni‬ Jamaa aitwaye Peter Thomas ambaye ni Msimamizi Msaidizi wa kituo cha Bishop Nkola Sec mkoani Shinyanga ametoweka na bahasha ya matokeo na wenzake hawajui alipo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.