Saturday, October 24, 2015

Anonymous

Wanasayansi Watengeneza Dawa Kutumia Ndizi Zinazoweza Kuua Virusi vya HIV, Hepatitis na Mafua!

Wanasayansi wametengeneza dawa kutumia ndizi zinazoweza kuua virusi vya aina mbalimbali vikiwemo vya HIV, Hepatitis na mafua.
health-benefits-of-bananas
Inatumainiwa kuwa dawa hivyo mpya inaweza kuwa na muhimu katika kupambana na virusi vingi hatari. Dawa hiyo iligundulika miaka mitano iliyopita na kuaminika kuwa tiba ya virusi vya HIV lakini ilisababisha madhara ambayo wanasayansi sasa wamekabiliana nayo. 

Dawa hiyo iliyopewa jina la BanLec inayoweza kupambana na virusi kwenye panya lakini haileti madhara. Watafiti wanaamini kuwa dawa hiyo inaweza pia kuponya Ebola.
Hata hivyo walionya kuwa ulaji wa ndizi wa kawaida hauwezi kuwa na matokeo yale yale.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.