Saturday, October 24, 2015

Anonymous

[VIDEO] Pele Ametimiza Miaka 75, Cheki Magoli Yake 10 Katika Ubora Wake Zamani..


Jina lake ambalo Dunia inalitambua kutokana na heshima kubwa aliyoiweka kwenye soka anaitwa Pele ila Jina halali kabisa la utambulisho wake ni Edson Arantes do Nascimento, mmoja ya wakongwe wenye heshima kubwa kwenye soka.

Edson Arantes do Nascimento aka Pelé staa wa Soka Brazil ambae ametimiza umri wa miaka 75 kwa sasa.
October 23 ndio siku ambayo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, lakini kwa sababu ana heshima kubwa kwenye soka nikaona nikusogezee kipisi cha moja ya Video za magoli yake makali aliyowahi kunaswa kipindi akiwa bado anang’aa kwenye soka, bonyeza play kuicheki na pia waweza download

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.