Friday, October 23, 2015

Anonymous

VIDEO: Mh. LOWASSA Awapigia Kampeni Wabunge na Madiwani wa CCM Leo Morogoro

Kandili kazi yetu ni kumulika na kukujulisha kinachoendelea hapa Tanzania hasa wakati huu wa kampeni za uchaguzi.
Leo mheshimiwa Lowassa alikosea kidogo na kujikuta akiwanadi wagombea ubunge na udiwani wa CCM.
"Nawaomba Jumapili mnipe kura kwa wingi, ila msisahau kuwachagua madiwani na wabunge wa CCM ili tuiondoe CCM madarakani"...Lowassa

Aliyasema hayo akiwa katika viwanja vya Shule ya Jangwani - Ifakara mkoani Morogoro.
Tazama video hapo chini

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.