Friday, October 23, 2015

Anonymous

TAARIFA Sahihi Kuhusu Dr MARY NAGU wa CCM Kukamatwa na Masanduku Kumi ya Kupigia Kura Yakiwa na Karatasi za Kura Zilizokwisha Pigwa

Taarifa ya awali ya uzushi iliyosambaa Mtandaoni lakini sio hapa kandiliyetu.com ilikua hivi:
Wakuu kwa habari za hivi punde kutoka Hanang ni kuwa Dr Mary Nagu amekamatwa na maboksi kumi ya kura yakiwa yashapigiwa kura tayari huko Hanang. Sasa hivi amekamatwa yupo Polisi,taarifa zaidi zinakuja.

TAARIFA SAHIHI HII HAPA: 
JF imemtafuta RPC wa Mkoa wa Manyara, Christropher Fuime na kufahamishwa kuwa taarifa hizi ni za uongo na zenye malengo ya kisiasa.

Masanduku yote ya kupigia kura yapo mikononi mwa mamlaka husika na hakuna mtu yeyote aliyekamatwa na sanduku la kura wala wao kama Polisi hawana taarifa toka jimbo lolote mkoani humo kuhusiana na hili.
Note: Epuka Kusambaza Taarifa zisozokuwa na uhakika wakati huu wa Uchaguzi Mkuu...

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.