Mgombea urais kupitia Chadema Edward Lowassa atoa mtazamo wake mara baada ya kupiga kura....Hapa chini nimekuwekea videos tatu tofauti za Lowassa akihojiwa, tazama Video hizo hapo chini
Lowassa amesema hatokubaliana na matokeo kama uchaguzi hautokuwa wa haki.
Mh Lowassa pia ameelezea hali itakavyokuwa baada ya matokeo kuwekwa wazi kufuatia zoezi hilo kumalizika.
Note: Only a member of this blog may post a comment.