Sunday, October 25, 2015

Anonymous

PICHAZ: Mgombea Urais wa Zanzibar Kwa Tiketi ya CCM, Dk. Ali Mohammed Shein Ameshapiga Kura!


Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohammed Shein, tayari ameshapiga kura yake kwenye Kituo cha Skuli ya Bungi kusini mwa kisiwa cha Unguja, majira ya saa moja asubuhi
Shein amewaambia waandishi wa habari kuwa amejipigia kura mwenyewe na ana matumaini makubwa ya kushinda

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.