MWENYEKITI wa jopo la washauri wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Prof. Mwesiga Baregu amesema wamejiandaa kuunda serikali mpya mara tu watakapoingia madarakani. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea).
Prof. Baregu ametoa kauli hiyo leo Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewaambia, uhakika wa kupata ushindi unatokana na utafiti walioufanya kutoka kwa wananchi ndani ya kipindi hiki cha kampeni.“Tunauhakika wa kukubalika na wananchi wengi kwani kampeni zetu tulizifanya kwa kistaarabu, bila matusi, kejeri wala kupiga pushap.
“Licha ya kutukanwa na kuchokozwa, hatukuvunja heshima yetu kwani tuna uhakika wa rais wetu na ushindi tunapata,” amesema

Note: Only a member of this blog may post a comment.