Monday, October 12, 2015

Anonymous

Teaser: ALIKIBA Aonjesha Collabo yake Mpya na Christian BELLA ‘Nagharamia’ (Audio)

Alikiba a.k.a King Kiba na Christian Bella a.k.a mfalme wa masauti wamekuwa wakitoa ahadi ya kufanya collabo kwa muda mrefu, na mashabiki wamekuwa na shauku ya kusikia kile kilichofanywa na wakali hao kwa kuzingatia uwezo mkubwa walionao. 
 
‘Nagharamia’ ndio jina la wimbo huo ambao unatarajiwa kutoka hivi karibuni. Alikiba ameshare kionjo kidogo cha wimbo huo kwenye Instagram.
Miezi kadhaa iliyopita Bella alisema kuwa kazi hiyo itakuwa na utofauti mkubwa kwa sababu amembadilisha sana Alikiba. 
Sikiliza kipande hicho hapa

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.