Thursday, October 8, 2015

Anonymous

TANESCO Wajibu Kauli za Wagombea LOWASSA na MAGUFULI Kwa Vitendo!

Kwa siku ya pili mfululizo nashuhudia umeme kutokukatika tangu zitolewe kauli za wagombea wawili wenye nguvu [Magufuli & Lowassa]

Lowassa amewatahadharisha kuwa wajiandae kuwajibika pindi atakapokuwa madarakani, nae mgombea Urais kupitia CCM John Pombe Magufuli amewapa onyo kuhusu kukatika mara kwa mara.

Tangu jana naona Dar es salaam wamerudisha umeme, sijui mikoa mingine.
Tunaomba Hali iendelee hivi hivi

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.