Baadhi ya madereva wa wakiwa tayari wamewasili Ukumbi wa mikutano, Ubungo Plaza mahali ambapo mkutano huo utafanyika.
Baadhi ya madereva waliokwisha fika wakionekana kuteta jambo.
Hali ilivyo sasa kabla na ya kuanza kwa mkutano huo.
…Wakisubuiri kuanza kwa mkutano huo ili wamueleze Rais Kikwete kero zao.
Baadhi ya madereva wakiwa tayari wamewasili ukumbini hapo.
Uongozi wa Chama Cha Wafanyakazi Madereva Tanzania (TADWU), leo
wanatarajia kufanya mkutano na Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye Ukumbi
wa mikutano, Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam ili wamueleze kero
zinazowakabiri madereva na sekta nzima ya usafirishaji wa nchi kavu.
Picha zinaonesha taswira ya baadhi ya madereva wa mabasi na malori,
ukumbini hapo wakisubiri kuanza kwa mkutano muda mfupi ujao, ambapo
Rais Kikwete anatarajiwa kuhudhuria mkutano huo.
PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 799

Note: Only a member of this blog may post a comment.