Dancers wa P-Square pamoja na msanii mkubwa wa nchini Congo, Fally Ipupa walijaribu kumshawishi Diamond ili wafanye kazi ya pamoja na dancers wake.
Akizungumza na Bongo5 jana mmoja wa dancers hao, Imma Platnumz, alisema hali hiyo ya kufuatwa na dancers wa P-Square inaonyesha kazi wanayoifanya inakubalika.
“Pia tulikutana na Fally Ipupa, aliomba kufanya show na sisi lakini management imeshindwa kutuachia kwa sababu tuna kazi zetu binafsi.”


Note: Only a member of this blog may post a comment.