Tuesday, October 27, 2015

Anonymous

Matokeo Rasmi ya Ubunge Jimbo la KIBAMBA Kwa John MNYIKA wa CHADEMA na Dk. Fenella MUKANGALA wa CCM Haya Hapa

Jimbo Kibamba: John Mnyika wa Chadema, ameshinda kwa jumla ya kura 79274 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Dkt.Fenella Mukangala wa CCM, aliyepata kura 55410

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.