Tuesday, October 27, 2015

Anonymous

Matokeo Rasmi ya Jimbo Tata la ILEMELA, Mwanza Kwa Highness KIWIA wa CHADEMA Haya Hapa

Bi. Angelina Mabula
Mgombea ubunge jimbo la ILEMELA jijini Mwanza Bi. Angelina Mabula (CCM) ameibuka mshindi kwa kupata kura 85,424 dhidi ya Highness Kiwia wa CHADEMA aliyepata kura 61679
Endelea kufuatilia hapa kandiliyetu.com kwa updates zote muhimu za uchaguzi mkuu na matukio mbalimbali kama bado hauja-like page yetu ya facebook bonyeza hapa

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.