Monday, February 23, 2015

Anonymous

MSANII SHILOLE KIUNO ATOA MAENEO MAKALI BAADA YA KUSEMWA KWENDA MSIBANI KICHWA WAZI


Nawaangalia tu wote mnaonisnich kama ww unajiua ni snich jitoe tu coz hata mm sina time na ww! Tusilazimishane kuwa kama ww mm ni mm na ww ni ww so naona au coz mm ni shilole nisingeenda msiban pia mngechamba oooh wasanii hamjaliani sasa mm nimekwenda lakin bado oooh nywele.

Sijafunika! Plzzz tusiingiliane mbona hamna jema nyinyi loh! Mnikome nafanya kile ambacho naweza kufanya kwa wakati huo so tuheshimiane (tusi) tena nyie ambao mnasema ooooooo hujafunga kitamba kichwani hata misiban hamjaww kwenda!
PICHAZ: HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA MSANII LINNAH SANGAH!
===>>JIONEE HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.